TUZO ZA VINARA 16 WA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA ZATOLEWA, WiLDAF YAHIMIZA MAPAMBANO ZAIDI
Shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Barani Afrika (WiLDAF Tanzania), kwa kushirikiana na mtandao wa kupambana na ukatili wa kijinsia (Mkuki) na wadau wengine wa maendeleo, wameandaa na kugawa tuzo kwa vinara 16 wa kupinga vitendo vya ukatili wa kijinsia na utetezi wa haki za binadamu. Ugawaji wa tuzo hizo umefanyika Februari 05, 2026…