Upelelezi kesi wanaodaiwa kuiba The Voice Kinyerezi waiva

Dar es Salaam. Upelelezi katika kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha na kisha kuiba Klabu ya The Voice Tz Limited, inayowakabili Tumaini Moshi (33) na Gasper Mmari (24), umekamilika. Tumaini na Mmari ambao wote ni wakazi wa Kinyerezi wilaya ya Ilala, wanakabiliwa na shtaka moja la unyang’anyi wa kutumia silaha na kujipatia vitu mbalimbali vyenye…

Read More

Edgar sasa atamani zaidi ya mabao 10

MCHEZAJI Bora wa Ligi Kuu Bara kwa Januari, William Edgar wa Dodoma Jiji amesema japo kila mechi wanayocheza kwa sasa ni kama fainali, lakini anatamani kumaliza msimu huu akiwa amefunga si chini ya mabao 10 ili kuweka heshima n rekodi binafsi katika Ligi Kuu. Edgar aliyemaliza na mabao sita na asisti nne na mechi za…

Read More

PIGABET YAZINDUA KAMPENI YA “SHINDA BODA”, WACHEZAJI WAPATA NAFASI YA KUWA MABOSI WAO

div class=”separator” style=”clear: both; text-align: center;”> Dar es Salaam, Februari 10, 2026: Katika hatua inayoonesha mwelekeo mpya wa michezo ya kubahatisha nchini, PigaBet imezindua kampeni ya “SHINDA BODA” inayolenga si burudani pekee, bali pia kuwawezesha wachezaji—hasa vijana—kujipatia mtaji wa kujiajiri na kujiongezea kipato kupitia ushindi wa pikipiki mpya kila wiki. Kampeni hiyo inawapa wachezaji wawili…

Read More

WANANCHI MBIONI KUHAMA KIJIJI KUKIMBIA VIBOKO

……… BIHARAMULO  IMEELEZWA kuwa wananchi wa Kijiji cha Msekwa kata ya Kalenge wilayani Biharamulo mkoani Kagera, wapo mbioni kukimbia Kijiji hicho kutokana na uvamizi wa wanyama pori aina ya viboko ambao wamekuwa wakitishia maisha ya wananchi. Mbali na hilo, wamedaiwa kuvamia mashamba ya wakulima na kuharibu mazao hali inayotishia kuwepo kwa uhaba mkubwa wa chakula…

Read More

‘DED’ Kigoma Ujiji, wenzake waliohukumiwa miaka 20 waachiwa

Arusha. Mahakama Kuu Masijala Ndogo ya Kigoma imewaachia huru aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigoma Ujiji (DED), Athumani Msabila na aliyekuwa mhazini wa halmashauri hiyo, Frank Nguvumali, waliokuwa wamehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela. Msabila na mwenzake walikutwa na hatia ya makosa mawili ambayo ni kughushi nyaraka na utakatishaji fedha. Msabila na wengine 10 wakiwemo…

Read More

Sh120 bilioni kuifufua Mutex | Mwananchi

Musoma. Zaidi ya Sh120 bilioni zinatarajiwa kutumika kwa ajili ya kufufua uzalishaji wa kiwanda cha nguo cha Mutex kilichopo mjini Musoma baada ya kiwanda hicho kuacha kufanya kazi kwa zaidi ya miaka 10 sasa. Kiasi hicho cha fedha kinatarajiwa kutumiwa na mwekezaji ambaye hata hivyo hajawekwa wazi huku ikielezwa kuwa hivi sasa Serikali iko katika taratibu…

Read More

FCC iendeleni kusimamia ushindani katika soko katika kumlinda mlaji-Naibu Waziri Londo

Kaimu Mkurugenzi Mkuu FCC aweka mikakati ya utoaji huduma zinazoenda na viwango boraWaziri wa Viwanda na Biashara Dennis Londo amesema Tume ya Ushindani (FCC) iendelee na majukumu  ya kusimamia ushindani katika kujenga imani ya walaji kwani sehemu ya huduma ndio wananchi wanapokutana na serikali Londo aliyasema hayo wakati alipotembelea Tume ya Ushindani Jijini Dar es…

Read More