Mikoa minne Tanzania kunufaika na mpango wa matumizi ya ardhi

Iringa. Katika kuhakikisha ardhi inatumika kwa tija, uwazi na kwa kuzingatia misingi ya uhifadhi na maendeleo, vijiji 160 vya mikoa ya Iringa, Ruvuma, Njombe na Lindi inatarajiwa kunufaika na uandaaji wa mipango ya natumizi ya ardhi. Ushirikiano huo unalenga kupunguza migogoro ya ardhi, kulinda misitu na bioanuwai, na kuongeza ushiriki wa jamii katika maamuzi yanayohusu…

Read More

Kocha Mtibwa afichua kilichowaangusha | Mwanaspoti

KOCHA Mkuu wa Mtibwa Sugar, Mkenya Yusuf Chippo, ametaja sababu iliyowaangusha wakaambulia kichapo cha mabao 3-1 dhidi ya Mashujaa kuwa ni kutokana na wachezaji kukosa umakini katika eneo la kujilinda. Katika mechi hiyo iliyopigwa juzi kwenye Uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma, mabao ya Mashujaa yalifungwa na Hassan Hadji ‘Cheda’, Jaffary Kibaya na Abdul Bakari, huku…

Read More

Julio asaka msaidizi Mashujaa FC

KOCHA Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ameanza kwa kishindo kazi ya kuinoa Mashujaa ya Kigoma baada ya juzi usiku kuizima Mtibwa Sugar ikiwa uwanja wake wa nyumbani wa Jamhuri Dodoma kwa mabao 3-1, huku akiweka bayana anapambana kupata wa kumsaidia kikosini. Julio aliyetambulishwa katika ya wiki hii na maafande hao wa Mashujaa walioandika rekodi ya aina yake…

Read More

JKT, Coastal yajirudia baada ya miaka sita

SARE ya kufungana bao 1-1 kati JKT Tanzania na Coastal Union katika mechi ya Ligi Kuu iliyopigwa juzi kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo Mbweni ni ya kwanza timu hizo baada ya kupita miaka sita. Kabla ya mechi hiyo, mara ya mwisho kwa timu hizo kutoka sare ya kufungana bao 1-1, ilikuwa ni Februari 4,…

Read More