‘DED’ Kigoma Ujiji, wenzake waliohukumiwa miaka 20 waachiwa

Arusha. Mahakama Kuu Masijala Ndogo ya Kigoma imewaachia huru aliyekuwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kigoma Ujiji (DED), Athumani Msabila na aliyekuwa mhazini wa halmashauri hiyo, Frank Nguvumali, waliokuwa wamehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela. Msabila na mwenzake walikutwa na hatia ya makosa mawili ambayo ni kughushi nyaraka na utakatishaji fedha. Msabila na wengine 10 wakiwemo…

Read More

Sh120 bilioni kuifufua Mutex | Mwananchi

Musoma. Zaidi ya Sh120 bilioni zinatarajiwa kutumika kwa ajili ya kufufua uzalishaji wa kiwanda cha nguo cha Mutex kilichopo mjini Musoma baada ya kiwanda hicho kuacha kufanya kazi kwa zaidi ya miaka 10 sasa. Kiasi hicho cha fedha kinatarajiwa kutumiwa na mwekezaji ambaye hata hivyo hajawekwa wazi huku ikielezwa kuwa hivi sasa Serikali iko katika taratibu…

Read More

FCC iendeleni kusimamia ushindani katika soko katika kumlinda mlaji-Naibu Waziri Londo

Kaimu Mkurugenzi Mkuu FCC aweka mikakati ya utoaji huduma zinazoenda na viwango boraWaziri wa Viwanda na Biashara Dennis Londo amesema Tume ya Ushindani (FCC) iendelee na majukumu  ya kusimamia ushindani katika kujenga imani ya walaji kwani sehemu ya huduma ndio wananchi wanapokutana na serikali Londo aliyasema hayo wakati alipotembelea Tume ya Ushindani Jijini Dar es…

Read More

Kukosa ujuzi kunavyowatesa vijana kupata ajira

Unguja. Wakati vijana wakikabiliwa na ukosefu wa ajira, kutokuwa na ujuzi imetejwa kuwa moja ya sababu inayowafanya washindwe kuzifikia fursa na kutimiza ndoto zao. Azimio la vijana Amani na Usalama 2250 limebainisha maeneo makuu matano ambayo nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa wanapaswa kutekeleza maeneo hayo ili kuhakikisha vijana wanaendelezwa na kujengewa uwezo kuepusha migogoro…

Read More

Udhibiti bajaji, pikipiki za umeme ulivyo ‘kaa la moto’ kwa mamlaka-2

Dar/Dodoma. Hii ni sehemu ya pili ya janga linalochipuka linalohusisha bajaji na pikipiki zinazotumia nishati ya umeme, ambalo linaibua maswali kuhusu usalama barabarani na ugumu wa kuvitambua vyombo hivyo vinapohusika katika ajali. Changamoto hiyo imeendelea kuwepo huku kukiwa na sintofahamu kuhusu nani hasa anapaswa kusimamia udhibiti wa kuhakikisha vyombo hivyo vinasajiliwa. Sehemu hii inaangazia hali…

Read More

Siri kufanikiwa mkakati wa KKK hii hapa

Dar es Salaam. Uzinduzi wa Mkakati wa Kisayansi wa Kujenga Umahiri wa Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK) kwa watoto wa elimu ya awali na wanafunzi wa darasa la I na II, uliofanywa hivi karibuni,  na Rais Samia Suluhu Hassan, ni hatua muhimu na ya kihistoria katika safari ya Tanzania ya kuimarisha sekta ya elimu. Mkakati…

Read More

Tunda la ufundishaji bora ni ujifunzaji bora

Arusha. Hivi karibuni Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia,  ilizindua Mkakati wa Kisayansi wa Kujenga Umahiri wa Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK) kwa watoto wa elimu ya awali na wanafunzi wa darasa la kwanza na la pili. Imebainika kwamba kuna idadi kubwa ya watoto wanaofika darasa la tatu wakiwa hawana stadi za msingi za kusoma,…

Read More

UNICEF Yatoa Sauti ya Kengele AI Inapochochea Mgogoro Mpya wa Unyonyaji wa Mtoto wa Ulimwenguni – Masuala ya Ulimwenguni

Mamilioni ya watoto wako katika hatari ya kukabiliwa na unyonyaji na unyanyasaji kupitia kufichuliwa na picha zao kubadilishwa kupitia zana genereshi za AI. Credit: Ludovic Toinel/Unsplash na Oritro Karim (umoja wa mataifa) Jumanne, Februari 10, 2026 Inter Press Service UMOJA WA MATAIFA, Februari 10 (IPS) – Matokeo mapya kutoka Shirika la Umoja wa Mataifa la…

Read More