Kibu Denis amfuata Mukwala Libya

Al Nasr imefikia makubaliano rasmi na Simba ya kumnunua mshambuliaji Kibu Denis baada ya klabu hiyo ya Misri jana kukubaliana maslahi binafsi na nyota huyo wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’. Baada ya awali Simba kuonyesha utayari wa kumuuza Kibu Denis, kilichobakia kilikuwa ni makubaliano binafsi baina ya Al Nasr na Kibu Denis…

Read More

Kib Denis amfuata Mukwala Libya

Al Nasr imefikia makubaliano rasmi na Simba ya kumnunua mshambuliaji Kibu Denis baada ya klabu hiyo ya Misri jana kukubaliana maslahi binafsi na nyota huyo wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’. Baada ya awali Simba kuonyesha utayari wa kumuuza Kibu Denis, kilichobakia kilikuwa ni makubaliano binafsi baina ya Al Nasr na Kibu Denis…

Read More

POLISI KUENDELEA KUWEKA JITIHADA ZA KUNUNUA MBWA WAPYA WA KISASA WENYE UWEZO WA KUBAINI,KUZUIA NA KUMDHOOFISHA MHALIFU.

 ******** FEBRUARI 9,2026 DAR ES SALAAM Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Camillus Wambura, amesema Jeshi la Polisi litaendelea kuweka jitihada mbalimbali za kununua mbwa wapya wa kisasa na wenye uwezo ili kuboresha muonekano wa mbwa wa Polisi mwenye umbo lenye kumdhoofisha mhalifu. IGP Wambura, ameyasema hayo wakati wa Ufunguzi wa Kikao Kazi cha…

Read More

Yanga kwenye presha, tatizo la kufunga likiwaandama CAFCL

Wakielekea kwenye mechi yao ya mwisho ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF), Young Africans wanajua kuwa ni muujiza pekee ndio unaweza kuwaweka hai katika mashindano ya hayo. Huku matumaini ya kufuzu yakining’inia kwa uzi mwembamba, kocha mkuu Pedro Gonçalves atakuwa akiomba washambuliaji wake wapate makali ya kufumania nyavu katika wakati huu…

Read More

Mkuu wa haki za Umoja wa Mataifa anasema mbaya zaidi ni kuja bila hatua za kimataifa – Global Issues

“Tunaweza tu kutarajia mbaya zaidi kuja” isipokuwa hatua hazitachukuliwa kukomesha umwagaji damu, Bw. Türk aliambia Mataifa Wanachama katika mkutano huo Baraza la Haki za Binadamu huko Geneva, alipokuwa akirejelea wito wake wa kurefushwa kwa vikwazo vya silaha kutoka Darfur ili kujumuisha Sudan yote. Wanajeshi hasimu kutoka jeshi la taifa na wanamgambo wa Rapid Support Forces…

Read More

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Kujenga Taasisi ya Saratani

Na Mwandishi Wetu ,Zanzibar KATIBU Mkuu wa Wizara ya Afya Zanzibar, Dkt. Mngereza Mzee Miraji, amesema Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imepanga kuanza ujenzi wa Taasisi ya Saratani Zanzibar mwaka huu, ujenzi ambao unatarajiwa kukamilika ndani ya kipindi cha miaka miwili. Taasisi hiyo inalenga kutoa huduma za matibabu ya saratani ndani ya Zanzibar, hatua itakayopunguza…

Read More

Majeraha yamtibulia Salim Dodoma Jiji

KIPA wa Dodoma Jiji, Ally Salim amepata majeraha yatakayomuweka nje ya uwanja kwa takribani mwezi mmoja. Salim aliye na clean sheet tano akishika nafasi ya pili nyuma ya Erick Johola wa Mashujaa mwenye sita, aliumia bega katika mechi ya Ligi Kuu Bara dhidi ya Mbeya City, iliyopigwa Uwanja wa Sokoine, Feb 3, 2026. Akizungumza na…

Read More

Makapu, Bahanuzi waukubali mziki wa Bacca

MWENDELEZO wa kiwango anachokionyesha beki wa Yanga, Ibrahim Hamad ‘Bacca’ kimemuibua kiungo wa Bigman FC iliyopo Ligi ya Championship, Said Juma ‘Makapu’ anayeamini kinatokana na uvumilivu na nidhamu, huku straika mwingine wa kimataifa wa zamani, Said Bahanuzi akimpigia saluti. Makapu aliyewahi kuichezea Yanga aliuelezea uchezaji wa Bacca kuwa ni wa kutumia nguvu, akili na kasi,…

Read More