MPE MTOTO ELIMU NA SI MAUMIVU, KATAA UKEKETAJI!
Tarehe 6 ya mwezi Februari kila mwaka dunia huadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kupinga Ukeketaji. Lengo la siku hii ni kuongeza uelewa na jitihada za kutokomeza vitendo vya ukeketaji, kutathmini hatua zilizofikiwa na kuja na mikakati ya namna ya kubaini na kutokomeza vitendo hivyo. Wakati dunia ikiadhimisha siku hii, takwimu mbalimbali zinaonyesha kuwa mamilioni ya…