Sheria mpya uhifadhi wa matumbawe ni muhimu

Uvuvi unategemewa kwa kiasi kikubwa katika maisha ya watu wa Zanzibar wanaoishi kandokando ya bahari. Hata hivyo, uvuvi unapofanyika bila kuzingatia usalama na uhifadhi wa mazingira, huchangia kwa kiasi kikubwa kuangamizwa kwa rasilimali za baharini, yakiwemo matumbawe. Kwa sasa, nchi nyingi zikiwamo zile zinazotegemea Bahari ya Hindi, zinakabiliwa na upungufu wa samaki na viumbe mbalimbali…

Read More

Katiba Mpya; Je itakuwa ya kwanza ya Wananchi?

Leo naendelea na mfululizo wa makala za historia ya Katiba ya Tanzania, tulioanza wiki iliyopita kwa kuangazia katiba nne za mwanzo: Katiba ya Uhuru ya mwaka 1961, Katiba ya Jamhuri ya mwaka 1962, Katiba ya Muungano ya mwaka 1964, pamoja na Katiba ya Mpito ya mwaka 1965. Katika makala hii, ninaichambua Katiba ya Jamhuri ya…

Read More

Wanne mbaroni wakidaiwa kuiba gari la wagonjwa Mara

Musoma. Polisi Mkoa wa Mara inawashikilia watu wanne kwa tuhuma za kuiba gari la wagonjwa (ambulance) kisha kulibadilisha na kuwa gari la biashara ya kubeba watalii. Watuhumiwa hao wakazi wa Tarime mkoani Mara na jijini Arusha wanatuhumiwa kuiba gari hilo mali ya Halmashauri ya Manispaa ya Musoma mkoani Mara iliyokuwa ikitoa huduma hospitali ya manispaa…

Read More