SERIKALI YAFAFANUA HATUA ZA KUDHIBITI MIKOPO YENYE RIBA KUBWA
Na. Chedaiwe Msuya na Jordan Mbwambo WF, Dodoma. Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Mhandisi Mshamu Ali Munde (Mb), amesema Serikali inaendelea kuchukua hatua mbalimbali kudhibiti mikopo yenye riba kubwa ili kulinda wananchi dhidi ya mikopo hatarishi, ikiwemo kuimarisha usimamizi wa sekta ya fedha kupitia Benki Kuu ya Tanzania (BoT). Mhe. Munde alitoa kauli hiyo bungeni…