Wawili wafariki dunia, 12 wajeruhiwa ajali ya basi Lindi
Lindi. Watu wawili wamefariki dunia na wengine 12 kujeruhiwa katika ajali ya basi la Kampuni ya Maning Nice lililokuwa likitokea Dar es Salaam kuelekea Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara, baada ya kugonga lori lililokuwa limeharibika eneo la Mtange, Manispaa ya Lindi. Ajali hiyo imetokea leo Jumamosi Februari 7, 2026, saa 12 asubuhi na kusababisha vifo…