Waziri Mkuu Azindua Kituo Kikubwa Cha CNG Puma Energy
Waziri Mkuu Azindua Kituo Kikubwa Cha CNG Puma Energy – Global Publishers Home Habari Waziri Mkuu Azindua Kituo Kikubwa Cha CNG Puma Energy
Waziri Mkuu Azindua Kituo Kikubwa Cha CNG Puma Energy – Global Publishers Home Habari Waziri Mkuu Azindua Kituo Kikubwa Cha CNG Puma Energy
Kuna mambo ya msingi ambayo mwanamke anahitaji kutoka kwa mwanamme ili kufurahi na kutulia katika mahusiano japokuwa sio rahisi kukwambia mojakwa moja.Na endapo utasoma na kufwata mafundisho haya lazima mwanamke wako hatokusahau hata kama mkiachana YAKUZINGATIA YAPO HAPO CHINI 1.Kuridhishwa Kwenye tendo la ndoa Mwanamke anapenda aridhishwe Kwenye tendo la ndoa. Hata kama utakuwa na…
MASHABIKI wa soka wa Yanga bado hawajui kilichoipata timu hiyo yenye nyota wakali na walioonekana huenda ikawa timu pekee ya Tanzania kutinga robo fainali kabla ya upepo kubadilika ghafla, lakini kuna kocha mmoja ameamua kufichua ‘code’ zinazoweza kuwabeba wananchi katika mechi ya mwisho ya Kundi B ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya JS Kabylie…
na CIVICUS Jumatatu, Februari 09, 2026 Inter Press Service CIVICUS inajadili kesi ya mauaji ya halaiki dhidi ya Myanmar katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) na Mohammed Nowkhim wa Jumuiya ya Amani na Haki za Kibinadamu ya Arakan Rohingya (ARSPHR), asasi ya kiraia inayoongozwa na watu wa Rohingya waliozaliwa nje ya kambi za wakimbizi…
*********** Jeshi la Polisi nchini Tanzania limesema limeanza kufanya uchunguzi kuhusiana na picha mjengeo inayosambazwa kupitia mitandao ya kijamii wakionekana wanawake wawili wakimpiga mwanamke mmoja kwa kutumia mwiko na kumshambulia kwa maneno kwa madai ya kudhalilishwa na mhanga wa tukio hilo…
Shughuli za biashara zenye asilia nzuri zinaweza kuchangia mafanikio ya biashara na mazingira, kulingana na Tathmini ya Biashara ya Bioanuwai ya IPBES. Credit: iStock/IPBES by Busani Bafana (bulawayo, zimbabwe & manchester, united kingdom) Jumatatu, Februari 09, 2026 Inter Press Service BULAWAYO, Zimbabwe & MANCHESTER, Uingereza, Februari 9 (IPS) – Biashara bado inaweza kubaki na faida…
Makamu wa Rais wa Tanzania Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi akiwa katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam, leo tarehe 09 Februari 2026.:::::: Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amezitaka sekta binafsi nchini kushirikiana kwa karibu na vyuo vya elimu…
::::::::: Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Zimbabwe, Mhe. CP Suzan Kaganda, amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi pamoja na wanachama wa jumuiya za Watanzania wanaoishi katika maeneo ya Hwange na Bulawayo nchini Zimbabwe. Lengo la mkutano huo lilikuwa ni kujadili masuala mbalimbali yanayowahusu Watanzania wanaoishi nje ya nchi, yakiwemo ushiriki wao katika…
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira NEMC Leo Februari 9, 2026 limekifunga kiwanda cha urejelezaji wa taka za plastiki cha HOOTA kilichopo Kata ya Vikindu Mkoani Pwani kutokana na kutekeleza shughuli zake kinyume na taratibu za kimazingira. Akizungumza mara baada ya timu ya wataalamu wa Mazingira kutoka NEMC kukagua kiwanda hicho, Meneja…
Na Mwandishi Wetu,Zanzibar Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar, Mhe. Suleiman Masoud Makame, amelishukuru Wakala wa Kimataifa wa Nguvu za Atomiki Duniani (IAEA) kwa namna shirika hilo linavyoisaidia Zanzibar katika sekta ya kilimo na mifugo. Akizungumza katika ofisi za Wizara ya Kilimo Zanzibar baada ya kupokea ugeni kutoka IAEA, ugeni ulioongozwa na Bwana…