IAEA Yaipongeza Zanzibar kwa Ushirikiano Katika Kilimo na Mifugo

Na Mwandishi Wetu,Zanzibar Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Zanzibar, Mhe. Suleiman Masoud Makame, amelishukuru Wakala wa Kimataifa wa Nguvu za Atomiki Duniani (IAEA) kwa namna shirika hilo linavyoisaidia Zanzibar katika sekta ya kilimo na mifugo. Akizungumza katika ofisi za Wizara ya Kilimo Zanzibar baada ya kupokea ugeni kutoka IAEA, ugeni ulioongozwa na Bwana…

Read More

WADAU WA BIASHARA SHINYANGA WAPONGEZA JITIHADA ZA BARAZA LA USHINDANI

  Mwakilishi wa Katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga Bw. David Lyamongi,akizungumza wakati wa semina ya kuwajengea uelewa kuhusu masuala ya ushindani wa kibiashara wadau na wafanyabiashara wa mkoa wa Shinyanga iliyofanyika  katika Ukumbi wa Makindo, Shinyanga. Na.Mwandishi Wetu-SHINYANGA Baraza la Ushindani, kwa niaba ya Mwenyekiti wake, Mhe. Jaji Rose Ally Ebrahimu, limewashukuru wadau na…

Read More

Dau Dogo, Zawadi Kubwa Samsung A26 Inakusubiri Meridianbet

JE unajua kuwa kwa dau dogo tuu unaweza kujiweka kwenye nafasi ya ushindi na wakali wa ubashiri Meridianbet ambapo kupitia promosheni ya Beti Online unaweza ukaondoka na Samsung A26. Weka dau lako kuanzia 5000 na ubashiri hapa. Meridianbet inaendelea kuwa kinara katika kutoa promosheni zenye thamani halisi kwa wachezaji wake. Kupitia kampeni yake mpya, kampuni…

Read More

Cashback Kila Siku Na Win&Go Ya Meridianbet Hata Usiposhinda

KWA Meridianbet, ushindi siyo tu pale namba zako zinapochaguliwa ila hata pale siku ikiwa haijaenda kama ulivyotarajia. Ndiyo maana Win&Go inaleta msukumo mpya wa kucheza bila presha, kwa kuweka cashback kama nguzo kuu ya burudani. Cheza kwa uhuru, jaribu bahati yako, na ujue kuwa hata ukipata hasara, Meridianbet iko upande wako. Cashback ya Win&Go imebuniwa…

Read More

Wachuuzi wavamia vizimba Soko Kuu la Kariakoo

Dar es Salaam. Biashara katika Soko Kuu la Kariakoo zimeanza rasmi leo, huku changamoto mpya ikiibuka baada ya baadhi ya wachuuzi kuvamia vizimba vya wafanyabiashara wengine. Soko hilo lilifunguliwa jana na Rais Samia Suluhu Hassan, ikiwa imetimia miaka mitano baada ya kuteketea kwa moto mwaka 2021 na kufanyiwa ukarabati mkubwa. Licha ya wafanyabiashara wengi kuanza…

Read More

UJENZI WA KINGO ZA MTO KANONI KUANZA FEBRUARY 28 MWAKA HUU

Na Diana Byera-Bukoba. Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba, Jacob Nkwera, amewahakikishia madiwani wa Manispaa ya Bukoba kuwa ujenzi wa kingo za Mto Kanoni unatarajiwa kuanza February 28 mwaka huu, baada ya taratibu zote za ukandarasi kukamilika. Akijibu swali la Diwani wa Kata ya Bilele, Taufiq Saharifu, katika kikao cha Baraza la Madiwani, Nkwera alisema kuwa…

Read More