Mchakato ujenzi wa uwanja Yanga wafikia patamu

RAIS wa Yanga, Hersi Said amesema mchakato wa ujenzi wa uwanja wa klabu hiyo utakaojengwa  Jangwani umefikia hatua nzuri baada ya kupokea mchoro wa kwanza wa mradi huo. Akizungumza mjini Zanzibar katika mwendelezo wa vikao vya Kamati ya Utendaji ya Yanga, Hersi amesema tayari klabu imepata mshirikw katika utekelezaji wa mradi huo, akibainisha mahitaji mahsusi…

Read More

Prisons yafufuka baada ya dakika 720, Namungo yakalishwa Sokoine

 Licha ya kwenda mapumziko ikiwa nyuma Kwa mabao 2-0, Tanzania Prisons imefanya ‘comeback’ kwa kuizamisha Namungo 3-2 na kujihakikishia pointi tatu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara. Mabadiliko ya kiufundi yaliyofanywa na Prisons kwa kumpumzisha George Mpole na kuingia Oscar Mwajanga yameonekana kuwalipa maafande hao na kuonja ushindi waliokosa kwa michezo tisa. Katika mchezo huo…

Read More

Sh45 bilioni zitakavyotumika 2026/27 Simanjiro

Simanjiro. Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro, mkoani Manyara, wamepitisha Sh45 bilioni kwa ajili ya rasimu wa mpango wa bajeti kwa mwaka wa fedha wa 2026/2027. Ofisa mipango wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro, Happy Masatu akisoma mpango huo wa makisio ya bajeti leo Jumamosi Februari 14, 2026 amesema umelenga kufanikisha miradi mbalimbali ya…

Read More

Mbunge Eala awaangukia marais kuinusuru EAC

Dar es Salaam. Kufuatia kusuasua kwa utekelezaji wa mipango ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kunakosababishwa na ukata wa fedha, Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (Eala) kutoka Tanzania, Dk Abdullah Hasnuu Makame, amewataka wakuu wa nchi kukutana kujadili namna ya kuziba nyufa ili kuinusuru jumuiya hiyo. Dk Makame amebainisha hayo Februari 12, 2026, jijini…

Read More