Wachuuzi wavamia vizimba Soko Kuu la Kariakoo

Dar es Salaam. Biashara katika Soko Kuu la Kariakoo zimeanza rasmi leo, huku changamoto mpya ikiibuka baada ya baadhi ya wachuuzi kuvamia vizimba vya wafanyabiashara wengine. Soko hilo lilifunguliwa jana na Rais Samia Suluhu Hassan, ikiwa imetimia miaka mitano baada ya kuteketea kwa moto mwaka 2021 na kufanyiwa ukarabati mkubwa. Licha ya wafanyabiashara wengi kuanza…

Read More

UJENZI WA KINGO ZA MTO KANONI KUANZA FEBRUARY 28 MWAKA HUU

Na Diana Byera-Bukoba. Mkurugenzi wa Manispaa ya Bukoba, Jacob Nkwera, amewahakikishia madiwani wa Manispaa ya Bukoba kuwa ujenzi wa kingo za Mto Kanoni unatarajiwa kuanza February 28 mwaka huu, baada ya taratibu zote za ukandarasi kukamilika. Akijibu swali la Diwani wa Kata ya Bilele, Taufiq Saharifu, katika kikao cha Baraza la Madiwani, Nkwera alisema kuwa…

Read More

Walemavu 110 kukutanishwa Kilimanjaro usiku wa ‘Night to shine’

Moshi. Wakati jamii ikitakiwa kuwaibua na kutowaonea aibu watu wenye ulemavu nchini,   Shirika la New Life Foundation mkoani Kilimanjaro limepanga kuwakutanisha walemavu 110 mkoani humo kama ishara ya kuwathamini na kuwatambua. Katika siku hiyo maalumu iliyopewa jina “Night to Shine” ambayo itafanyika Februari 13, 2026, watavalishwa mataji maalumu kama ishara ya kuthaminiwa katika jamii, na…

Read More

YASSIN AWAJULIA HALI WAANDISHI WA HABARI MAJERUHI WA AJALI IRINGA

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa, Daud Yassin, amewatembelea waandishi wa habari waliopata majeraha kufuatia ajali ya gari iliyotokea tarehe 5 Februari 2026 mkoani Iringa. Ajali hiyo ilitokea katika Kijiji cha Idodi, Halmashauri ya Wilaya ya Iringa, wakati waandishi wa habari wakirejea kutoka Idodi walikohudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 49 ya…

Read More

BARABARA ZA TANZANIA ZINA THAMANI YA TRILIONI 40-ULEGA

Na Seif Mangwangi, Michuzi TV Arusha TANZANIA inaelezwa kuwa na utajiri wa miundombinu ya barabara wenye thamani ya zaidi ya Sh.trilioni 38 hivyo kazi kubwa ya Serikali ni kuhakikisha inalinda miundombinu hiyo kwa kuzifanyia ukarabati wa kila mara. Hayo yameelezwa leo 9 Januari 2026, Jijini Arusha na Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega wakati wa ufunguzi…

Read More