Video: Polisi Wanawatafuta Wanawake Waliompiga Mwenzao Kwa Mwiko
Video: Polisi Wanawatafuta Wanawake Waliompiga Mwenzao Kwa Mwiko – Global Publishers Home Habari Video: Polisi Wanawatafuta Wanawake Waliompiga Mwenzao Kwa Mwiko
Video: Polisi Wanawatafuta Wanawake Waliompiga Mwenzao Kwa Mwiko – Global Publishers Home Habari Video: Polisi Wanawatafuta Wanawake Waliompiga Mwenzao Kwa Mwiko
DROO ya mechi za hatua ya 64-Bora ya michuano ya Kombe la Shirikisho (FA) imefanyika jana na vigogo va Ligi Kuu Bara ikiwamo, Simba, Yanga, Azam FC na Singida Black Stars zikipangwa na timu zinazoonekana mchekea katika hatua hiyo kusaka tiketi ya kusaka uwakilishi wa michuano ya CAF. Katika droo hiyo iliyofanyika jijini Dar es…
Serikali mkoani Geita imeikabidhi gari la zimamoto mamlaka ya mji mdogo wa Katoro gari ambapo linatarajiwa kuwa Msaada mkubwa kwa wananchi wa mji huo. Mkuu wa mkoa wa Geita Martin Shigella amezindua gari hilo ambalo lina uwezo wa kubeba jumla ya Lita 5000 za maji ya kuzimia moto pamoja na form compound Lita 500. Akizungumza…
KIKOSI cha KMC kinajindaa kushuka uwanjani jioni ya kesho Jumatano ikiwa wenyeji wa Simba katika mechi ya Ligi Kuu Bara, huku ikiwa ni kama imekumbwa na mdudu mbaya, kwani licha ya kuanza vibaya msimu huu ikiburuza mkia kwa muda mrefu, pia inaongoza ‘ligi ndogo’ ya kujifunga. KMC iliyopanda Ligi Kuu msimu wa 2018-2019 na kufanya…
Ushindi Unaambatana Na Burudani Ndani Ya Super Heli Premium. – Global Publishers Home Burudani Ushindi Unaambatana Na Burudani Ndani Ya Super Heli Premium.
Dar es Salaam. Baadhi ya wananchi wamekuwa wakilalamikia huduma zinazotolewa na madalali na mawinga, wakidai kwamba wamekuwa chanzo cha kupanda kwa bei za bidhaa au huduma sokoni, jambo linalowaumiza walaji wa mwisho. Wanasema mawinga wa masokoni na madalali wa vyumba, fremu za biashara na nyumba hupandisha bei za huduma na kufanya baadhi ya watu kushindwa…
Dar es Salaam. Baada ya malalamiko ya muda mrefu kuhusu wahitimu kukosa ujuzi unaokidhi mahitaji ya soko la ajira, mpango mpya wa Serikali wa kuunganisha taasisi za elimu ya juu na viwanda umeibua matumaini mapya miongoni mwa wadau wa ajira na uzalishaji. Wadau hao wamesema kwa muda mrefu kumekuwapo pengo kati ya elimu inayotolewa vyuoni…
Dar es Salaam. Wakati shule zilianzishwa ili kutoa elimu ya kitaaluma kwa watoto, hali imebadilika hivi sasa. Shule nyingi zikiwamo za bweni, zimegeuka kuwa vituo vya malezi ya watoto, kazi ambayo kiasili ilikuwa ya familia. Walimu, waliopaswa kuwa wawezeshaji tu, sasa wamebeba mzigo mzito wa kuwa walezi wa tabia, wahudumu wa afya, washauri wa kisaikolojia…
Arusha. Hivi karibuni Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, ilizindua Mkakati wa Kisayansi wa Kujenga Umahiri wa Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK) kwa watoto wa elimu ya awali na wanafunzi wa darasa la kwanza na la pili. Imebainika kwamba kuna idadi kubwa ya watoto wanaofika darasa la tatu wakiwa hawana stadi za msingi za kusoma,…
Dar es Salaam. Akiwa ametimiza zaidi ya siku 300 rumande, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, ameibuka na malalamiko mapya akidai uongozi wa Gereza la Ukonga umempiga marufuku kutembelewa na viongozi na wanachama wa chama chake. Pia, amelalamikia kunyimwa faragha katika mawasiliano na mawakili wake, jambo alilowahi kulilalamikia awali, akidai kuwa…