Mawinga, madalali wanakuza au kuzorotesha biashara…

Dar es Salaam. Baadhi ya wananchi wamekuwa wakilalamikia huduma zinazotolewa na madalali na mawinga, wakidai kwamba wamekuwa chanzo cha kupanda kwa bei za bidhaa au huduma sokoni, jambo linalowaumiza walaji wa mwisho. Wanasema mawinga wa masokoni na madalali wa vyumba, fremu za biashara na nyumba hupandisha bei za huduma na kufanya baadhi ya watu kushindwa…

Read More

Wanachotamani wenye viwanda kutoka kwa wahitimu vyuoni

Dar es Salaam. Baada ya malalamiko ya muda mrefu kuhusu wahitimu kukosa ujuzi unaokidhi mahitaji ya soko la ajira, mpango mpya wa Serikali wa kuunganisha taasisi za elimu ya juu na viwanda umeibua matumaini mapya miongoni mwa wadau wa ajira na uzalishaji. Wadau hao wamesema kwa muda mrefu kumekuwapo pengo kati ya elimu inayotolewa vyuoni…

Read More

Wazazi wanapogeuza  shule ‘madampo’ kubwaga watoto

Dar es Salaam. Wakati shule zilianzishwa ili kutoa elimu ya kitaaluma kwa watoto, hali imebadilika hivi sasa.  Shule nyingi zikiwamo za bweni, zimegeuka kuwa vituo vya malezi ya watoto,  kazi ambayo kiasili ilikuwa ya familia.  Walimu, waliopaswa kuwa wawezeshaji tu, sasa wamebeba mzigo mzito wa kuwa walezi wa tabia, wahudumu wa afya, washauri wa kisaikolojia…

Read More

 Tunda la ufundishaji bora ni ujifunzaji bora

Arusha. Hivi karibuni Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia,  ilizindua Mkakati wa Kisayansi wa Kujenga Umahiri wa Kusoma, Kuandika na Kuhesabu (KKK) kwa watoto wa elimu ya awali na wanafunzi wa darasa la kwanza na la pili. Imebainika kwamba kuna idadi kubwa ya watoto wanaofika darasa la tatu wakiwa hawana stadi za msingi za kusoma,…

Read More

Lissu aibua mapya mahakamani ya viongozi Chadema

Dar es Salaam. Akiwa ametimiza zaidi ya siku 300 rumande, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, ameibuka na malalamiko mapya akidai uongozi wa Gereza la Ukonga umempiga marufuku kutembelewa na viongozi na wanachama wa chama chake. Pia, amelalamikia kunyimwa faragha katika mawasiliano na mawakili wake, jambo alilowahi kulilalamikia awali, akidai kuwa…

Read More

NAIBU WAZIRI WA AFYA AITAKA JAMII KUACHA UNYANYAPAA DHIDI YA WENYE KIFAFA

… Wananchi wametakiwa kuwajali na kuachana na vitendo vya unyanyapaa dhidi ya wagonjwa wa kifafa, kwani asilimia kubwa ya wagonjwa hao hushindwa kupata ushirikiano kutoka kwa familia na jamii zinazowazunguka, jambo linalosababisha kuchelewa kupata matibabu na kufika hospitalini wakiwa katika hali mbaya zaidi kiafya. Rai hiyo imetolewa na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Florence Samizi…

Read More

Ukwasi mifuko hifadhi ya jamii waongezeka

Arusha. Thamani ya mifuko yote ya hifadhi ya jamii nchini imeongezeka kutoka Sh10.43 trilioni Juni 2020 hadi kufikia Sh24.20 trilioni Desemba 2025. Aidha, Serikali imezindua Sera ya Taifa ya Kinga ya Jamii ya mwaka 2023 pamoja na skimu ya wananchi waliojiajiri katika sekta isiyo rasmi, ambayo hadi Desemba 2025 tayari wanachama 509,000 kutoka makundi ya…

Read More

UWT Shinyanga yasitiri wasichana kwa taulo za hedhi

Shinyanga. Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Shinyanga umetoa taulo za hedhi kwa wasichana wenye uhitaji katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Shinyanga, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 49 ya chama hicho. Akizungumza leo Februari 09, 2026 Mwenyekiti wa UWT Wilaya ya Shinyanga Mjini, Rehema Nhamanilo amewataka…

Read More