Waandishi wa habari wanawake wa India wanaandika upya habari – Global Issues

Khabar Lahariya, kihalisi “mawimbi ya habari”, ni shirika la vyombo vya habari la wanawake wote lililoendeshwa tangu 2002 na waandishi wa habari wa vijijini, wengi wao Dalit, Adivasi na Muslim, wakisambaza habari mpya kutoka kwa baadhi ya mikoa iliyotengwa zaidi. “Tulikabiliwa na changamoto katika kila ngazi,” mwanzilishi Kavita Devi aliambia Habari za Umoja wa Mataifa….

Read More

Utaratibu wa hospitali kuzuia maiti ulivyokomeshwa

Dar es Salaam. Ni maumivu unapompoteza mpendwa wako uliyehangaika naye hospitali ukiwa na matumaini kwamba atakuwa na afya njema, lakini kwa bahati mbaya akafariki dunia. Katikati ya majonzi hayo, unakutana na bili kubwa ya matibabu ya mgonjwa wako, ndugu mkielezwa kwamba mwili wake hauwezi kuondolewa chumba cha kuhifadhi maiti kutokana na kutokamilishwa kwa gharama za…

Read More

Kesi ya Lissu kunguruma kwa siku 20 mfululizo, kuanza leo

Dar es Salaam. Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, leo inatarajiwa kuendelea kuunguruma, ambapo upande wa mashtaka utajibu hoja za kisheria za pingamizi la Lissu kuhusiana na uhalali wa mashahidi fiche wa Jamhuri. Kesi hiyo imepangwa kuendelea leo Jumatatu, Februari 9, 2026 kwa siku 20 mfululizo za…

Read More

Mastaa Ruangwa Queens wapewa siku 14

KIKOSI cha Ruangwa Queens kimewapa mapumziko ya wiki mbili wachezaji pamoja na benchi la ufundi kabla ya kurejea kambini Februari 25, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya kujiimarisha zaidi kuelekea mechi zijayo za Ligi Kuu ya Wanawake. Mapumziko hayo yamekuja wakati Ligi Kuu ya Wanawake ikiwa imesimama kupisha kalenda ya FIFA, ambapo timu za Taifa…

Read More

Zizou mzuka umepanda Sierra Leone

KIUNGO wa Mogbwemo Queens, Mtanzania Zuwena Aziz ‘Zizou’ amesema kumaliza mzunguko wa kwanza wa Ligi Kuu ya Wanawake Sierra Leone wakiwa kileleni ni jambo lililowaongezea kujiamini na kuwapa nafasi nzuri ya kulitetea taji hilo. Mogbwemo Queens inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake Sierra Leone imeonyesha kiwango kizuri katika mechi za mzunguko wa kwanza ikishinda mechi zote…

Read More

Samatta, Msuva mambo magumu | Mwanaspoti

LICHA ya nyota wawili Mbwana Samatta na Simon Msuva kuwa na umuhimu mkubwa kwenye kikosi cha timu ya taifa, Taifa Stars takwimu zinaonyesha msimu huu bado hawajaonyesha viwango vikubwa wakiwa kwenye klabu wanazozitumikia. Nahodha wa Stars, Mbwana Samatta anayecheza katika Ligi Kuu ya Ufaransa, Ligue 1, akiwa na kikosi cha Le Havre safari yake imekuwa…

Read More

Makonda: Gamondi kabaki yeye tu kusaini mkataba

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Paul Makonda ameweka wazi kuwa Serikali imempitisha Kocha Miguel Gamondi kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa, Taifa Stars, kutokana na uwezo wake aliouonyesha kwenye Michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) 2025 iliyofanyika Morocco. Makonda ameyasema hayo leo Februari 9, 2026 wakati akizungumza na waandishi wa habari…

Read More