Nyuma ya Mzize kusafiri na Yanga Morocco

BAADA ya kipindi kirefu cha sintofahamu na maswali mengi kutoka kwa mashabiki wa Yanga, hatimaye jina la Clement Mzize limeibuka kwenye msafara wa kikosi hicho kilichosafiri kwenda Morocco kwa ajili ya mchezo muhimu wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya FAR Rabat. Uwepo wake kwenye safari hiyo umeibua mijadala kutokana na ukweli kwamba mshambuliaji huyo…

Read More

Ufikiaji wa Kibinadamu Unaporomoka Kadiri Mgogoro wa Kisiasa na Usalama wa Yemen Unavyozidi Kuongezeka – Masuala ya Ulimwenguni

Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lakutana kuhusu hali ya Yemen. Credit: UN Photo/Evan Schneider na Oritro Karim (umoja wa mataifa) Jumatano, Februari 04, 2026 Inter Press Service UMOJA WA MATAIFA, Februari 4 (IPS) – Katika wiki za hivi kaŕibuni, mgogoŕo wa kibinadamu wa Yemen umezidi kuwa mbaya zaidi, kwani kuongezeka kwa uhaba wa…

Read More

MIKATABA ILINDE MASLAHI MAPANA YA NCHI NA WANANCHI

………… Na Sixmund Begashe, Dodoma Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amewataka viongozi na wataalam wa wizara na Taasisi zilizopo chini ya wizara hiyo, kuzingatia uzalendo na manufaa ya nchi kabla ya kusaini mikataba ya uwekezaji katika sekta za uhifadhi na utalii ili kuwawezesha Watanzania kunufaika na Maliasili za Taifa.  Dkt….

Read More

Moruwasa yalia na wezi, wachimba madini vyanzo vya maji

Morogoro. Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mkoa wa Morogoro (Moruwasa), Sais Kyejo amesema licha ya kuwepo kwa jitihada mbalimbali za kuboresha huduma, uchepushaji na wizi wa maji kwa baadhi ya wateja ni moja ya changamoto zinazoikabili mamlaka hiyo kwa muda mrefu. Kyejo ameyasema hayo leo Februari 4, 2026, wakati…

Read More