Wenye shida ya macho waitwa kutibiwa, kupewa miwani bure

Dar es Salaam. Watanzania wenye shida ya macho kama mtoto wa jicho, presha ya macho, kutokuona mbali wameitwa kwenda kufanyiwa uchunguzi kisha kupata matibabu ikiwemo upasuaji na kupewa miwani bure. Neema hiyo imetangazwa leo Jumatano Februari 4, 2026 na Mkurugenzi wa kliniki ya macho ya Optical Center, Dk Mkunde Kibwana itakayofanyika Kawe Dar es Salaam…

Read More

UDP CHAPINGA VIKALI KUVUNJWA MABARAZA YA ARDHI⁹

…….. CHATO SIKU Chache baada ya Jaji mkuu wa Tanzania, George Masaju, kupendekeza kuvunjwa kwa mabaraza ya ardhi na nyumba, mabaraza ya Kata pamoja na Kamati za maadili za mahakimu ambazo zipo chini ya wakuu wa wilaya na mikoa, Chama Cha United Democratic Party (UDP) kimepinga vikali mapendekezo hayo. Kinasema kuvunjwa kwa mabaraza hayo kutasababisha…

Read More

TFS yateketeza shamba la bangi hifadhini

Geita. Kamati ya Ulinzi na usalama ya Wilaya ya Geita, kwa kushirikiana na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), imeteketeza shamba la bangi lenye ukubwa wa ekari 3.5 lililokuwa katikati ya shamba la mahindi ndani ya hifadhi ya msitu wa Shamba la Miti Rwamgasa. Uteketezaji wa shamba hilo umefanyika leo Jumatano Februari 4, 2026,…

Read More