Majambazi Watatu Wauawa Simiyu Wakifyatuliana Risasi na Polisi
Majambazi Watatu Wauawa Simiyu Wakifyatuliana Risasi na Polisi – Global Publishers Home Habari Majambazi Watatu Wauawa Simiyu Wakifyatuliana Risasi na Polisi
Majambazi Watatu Wauawa Simiyu Wakifyatuliana Risasi na Polisi – Global Publishers Home Habari Majambazi Watatu Wauawa Simiyu Wakifyatuliana Risasi na Polisi
Dar es Salaam. Wakati Tanzania ikiungana na mataifa mengine kuadhimisha Siku ya Kifafa kesho, Februari 9, 2026, imani potofu juu ya ugonjwa huo na unyanyapaa umetajwa kama kikwazo kikuu kwa wagonjwa kutafuta matibabu kwa wataalamu wa afya nchini. Wataalamu wanaeleza kuwa kifafa huanza baada ya athari kwenye ubongo, na mtu hupata mshituko katika eneo hilo…
KOCHA wa zamani wa Azam FC, Mohamed Badru amesema anajivunia kuona vijana aliowafundisha kwenye timu za vijana wakipata nafasi kimataifa baada ya Mohamed Shilla kutambulishwa AIK ya Sweden. Badru aliyemfundisha Shilla alipokuwa Azam FC ya vijana, amesema kiungo mshambuliaji huyo ana nidhamu, akili ya mpira na uwezo wa kucheza zaidi ya nafasi moja, vitu vinavyompa…
Dar es Salaam. Ndani ya siku 100 za utekelezaji wa awamu mpya ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, Serikali iliweka msisitizo mkubwa kwenye ajenda ya Bima ya Afya kwa Wote (Universal Health Insurance – UHI) kama nguzo ya haki ya kijamii na ustawi wa wananchi. Msisitizo huo ulitolewa Alhamisi, Agosti 28, 2025 na Rais…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Soko Kuu jipya la Kariakoo, Ilala Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Februari, 2026. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri Mkuu Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba…
Iran Yasema Haitaacha Kurutubisha Uranium Hata Itangazwe Vita – Global Publishers Home Habari Iran Yasema Haitaacha Kurutubisha Uranium Hata Itangazwe Vita
Rais Samia Azindua Soko La Kisasa la Kariakoo (Picha +Video) – Global Publishers Home Habari Rais Samia Azindua Soko La Kisasa la Kariakoo (Picha +Video)
Dar es Salaam. Kuimarisha biashara ndogo na za kati (MSMEs) za wanawake, pamoja na kuwawezesha katika matumizi ya teknolojia za kidijitali, ni miongoni mwa njia muhimu za kuwaendeleza kiuchumi na kuongeza ushindani wao katika soko. Sambamba na hilo, kuwajengea wanawake ujuzi wa uongozi, kuongeza utayari wao wa kukua kifedha, na kushughulikia vikwazo vya kijamii vinavyokwamisha…
Video: Gari Lililoibiwa Lakutwa Kwa Fundi Magari Songwe – Global Publishers Home Habari Video: Gari Lililoibiwa Lakutwa Kwa Fundi Magari Songwe
Raia wa China, Xiuzhu Yan amewasilisha maombi kortini (Habeas Corpus) dhidi ya Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) na Mkurugenzi wa Mashitaka Nchini (DPP), kupinga kushikiliwa mahabusu kwa siku 82 tangu Novemba 2025.