Saad Kawemba aula Mbeya Kwanza
KLABU ya Mbeya Kwanza imefikia makubaliano ya kumuajiri, Saad Kawemba ili awe Ofisa Mtendaji Mkuu (CEO) baada ya pande mbili kufikia uamuzi huo, ikiwa ni pendekezo la mmiliki wa kikosi hicho chenye makazi yake mjini Tabora, Yusuph Kitumbo. Taarifa kutoka ndani ya uongozi wa Mbeya Kwanza, umeliambia Mwanaspoti, Kawemba amefikia uamuzi huo baada ya kupokea…