Boli la Gomez lashtua mastaa Simba

MSHAMBULIAJI wa Simba, Seleman Mwalimu ‘Gomez’ sio chaguo la kwanza la washambuliaji wa kikosi cha timu hiyo, lakini kiwango anachokionyesha kimewastajabisha mastaa waliofichua sababu inayosababisha nyota huyo aliyepo kwa mkopo kutokea Wydad Casablanca asiwe panga pangua. Gomez ambaye msimu uliopita alikuwa akiitumikia Fountain…

Read More

Mido Barberian aona mwanga Championship

KIUNGO wa Barberian FC, Muhsin Mlaga, amesema licha ya mwenendo usioridhisha kwa timu hiyo katika Ligi ya Championship hadi sasa msimu huu, ila bado wana nafasi ya kurekebisha changamoto mbalimbali, ikiwemo za kutumia vyema nafasi kufunga. Nyota huyo anayemudu kucheza kiungo wa ukabaji na ushambuliaji aliyehusishwa kutua Simba katika dirisha dogo la Januari 2026, amesema…

Read More

SHAROBARO WA NYUMBU NDANI YA NDUTU

Sharobaro  wa Nyumbu  au kijana wa nyumbu anayezaliwa Ndutu ni tofauti na vijana binadamu wanaozaliwa mijini kama  Dar es Salaam Nyumbu wana mpangilio wa kushika mimba na kuzaliwa kwa pamoja kitaalumu (Synchronization.) Hii ni moja ya maajabu makubwa ya nyumbu wanaopatikana Hifadhi ya Ngorongoro  na wanaokamilisha ikolojia ya Nyumbu katika mfumo wa Serengeti. Ndama wa…

Read More

UREKEBU WA SHERIA WATAJWA KUONGEZA UWAZI NA KUPUNGUZA RUSHW

………… Na Carlos Claudio, Dodoma. Serikali imeendelea kuchukua hatua madhubuti kuhakikisha wananchi wanazielewa sheria za nchi kwa kuzitafsiri katika lugha ya Kiswahili, hatua inayolenga kuongeza uelewa, uwajibikaji na upatikanaji wa haki kwa kila Mtanzania. Akizungumza jijini Dodoma wakati wa mafunzo ya sheria kwa waandishi wa habari wa Mkoa wa Dodoma, Kaimu Mkurugenzi wa Divisheni ya…

Read More

Tofauti ya wenza kuishi pamoja na kwa pamoja

Canada. Kuna ndoa nyingi ambapo wanandoa wanaishi nyumba moja na kulala kitanda kimoja lakini hawaishi pamoja. Kimwili wako pamoja japo kiroho wako dunia tofauti.  Wanaishi kwa pamoja ila si pamoja. Tuliwahi kugusia madhara ya mitandao na rununu. Mfano, unakuta mke au mume hana haki wala mamlaka ya kujua nywila ya simu ya mwenzake achia mbali…

Read More