Challe alia ufinyu wa kikosi KenGold

KOCHA Mkuu wa KenGold, Jumanne Challe, amesema sababu ya timu hiyo kutokuwa na mwenendo mzuri hadi sasa, ni kutokana na ufinyu wa kikosi kilichopo, kwa sababu wachezaji wengi wanacheza maeneo ya ushambuliaji zaidi kuliko eneo la kujilinda. Akizungumza na Mwanaspoti, Challe, amesema katika wachezaji wanaocheza nafasi za ushambuliaji ni wengi katika timu hiyo, jambo linalochangia…

Read More

WADAU WA BIASHARA WAELIMISHWA NAMNA YA KUPATA HAKI KUPITIA BARAZA LA USHINDANI

Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Bw. Balandya Elikana,akizungumza wakati akifungua mafunzo ya kuwajengea uwezo wafanyabiashara jijini Mwanza,ili  kuwaongezea uelewa kuhusu masuala ya ushindani wa soko pamoja na taratibu za kupata haki katika shughuli za kibiashara yaliyoandaliwa na Baraza la Ushindani wa Soko (FCT). Na.Mwandishi Wetu-MWANZA  BARAZA  la Ushindani wa Soko (FCT)  limetoa mafunzo ya…

Read More

Vijana wa UVCCM Kinondoni watakiwa kujiendeleza kielimu

Dar es Salaam. Mbunge wa Kawe, Geofrey Timoth amewataka wajumbe wa Baraza la Kikanuni la Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam kujikita katika kujiendeleza kielimu na kuongeza ujuzi ili wawe tayari kunufaika na fursa mbalimbali za maendeleo. “Ni muhimu vijana kuwekeza katika elimu na ujuzi, kwa…

Read More

Kwa nini muhimu kumpeleka mtoto kwa bibi na babu

Dar es Salaam. Katika mabadiliko ya kasi ya maisha ya sasa, wazazi wengi wamejikuta wakilea watoto wao katika mazingira ya mijini yenye shinikizo la kazi, teknolojia na majukumu mengi ya kifamilia. Katika muktadha huo, dhana ya kuwapeleka watoto kuishi au kumtembelea bibi na babu imeanza kupungua, licha ya kuwa na faida kubwa katika malezi na…

Read More

Mamia wajitokeza ufunguzi wa Soko la Kariakoo

Dar es Salaam. Mamia ya wafanyabiashara na wananchi wamejitokeza kushuhudia ufunguzi wa Soko la Kariakoo, lililokuwa katika ukarabati tangu mwaka 2022 kufuatia ajali ya moto iliyotokea miaka mitano iliyopita na kuteketeza mali zote zilizokuwemo ndani ya soko hilo. Ufunguzi huo umefanyika leo Februari 8, 2026, katika soko hilo, ambapo pamoja na wafanyabiashara na wananchi, viongozi…

Read More

Migogoro ya kihaiba na athari zake kazini, jamii

Dar es Salaam. Migogoro ya kihaiba ni miongoni mwa sababu kuu zinazochangia misuguano katika maeneo ya kazi, familia na jamii kwa ujumla. Mara nyingi, migogoro hii haitokani na chuki au nia mbaya, bali hutokana na kugongana kwa haiba tofauti za watu. Pale watu wawili au zaidi wenye mitazamo, mienendo na njia za kufanya uamuzi zisizofanana…

Read More