Ofisi chimbo sahihi la kunasa mwenza maishani?
Dar es Salaam.Katika kilele cha mapinduzi ya viwanda na mabadiliko ya mfumo wa kazi mwaka, watu wengi wanatumia zaidi ya asilimia 60 ya muda wao wakiwa macho ndani ya kuta za ofisi au kwenye mikutano ya kimtandao na wafanyakazi wenzao. Kutokana na mazingira haya, ofisi imeacha kuwa sehemu ya kuzalisha bidhaa na huduma pekee; imekuwa…