Kilichokwamisha dili la Shomary Kazakhstan
DILI la aliyekuwa beki wa kushoto wa KMC, Rahim Shomary kujiunga na FK Zhenys inayoshiriki Ligi Kuu ya Kazakhstan, limeshindwa kukamilika, baada ya nyota huyo kuamua kurejea nchini na kutua Singida Black Stars. Nyota huyo aliyejiunga na Ghazl El Mahalla ya Misri, Julai 14, 2025 na kusaini mkataba wa miaka mitatu baada ya kuachana na…