Yanga yapoteza ugenini, hesabu za robo fainali zipo hivi
IKICHEZA ugenini kwenye Uwanja wa Prince Moulay Abdellah, Yanga imekubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa AS FAR Rabat katika mechi ya tano ya kundi B kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika. Kipigo hicho kimeifanya Yanga kubaki na pointi tano ikishuka hadi nafasi ya tatu, huku AS FAR Rabat ikipanda nafasi ya pili ikifikisha pointi nane,…