Azam yashinda mechi tatu mfululizo CAF
BAADA ya kuanza hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika kwa vichapo viwili mfululizo, Azam FC imeamka na sasa inatembeza dozi tu kwa wapinzani. Chini ya Kocha Florent Ibenge, Azam leo Februari 7, 2026 kwenye Uwanja wa New Amaan Complex uliopo Unguja, imeibuka na ushindi wa bao 1-0. Beki wa kushoto wa Azam, Pascal…