Tandika Jamvi la Ushindi na Meridianbet Leo
WAKALI wa ubashiri wanakwambia kuwa siku ya leo unaweza ukaondoka na mkwanja mnene ukibashiri mechi zako na Meridianbet leo. Suka jamvi lako na uondoke na pesa yako sasa. Ligi kuu ya Uingereza itaendelea EPL ambapo mapema kabisa Manchester United watakipiga dhidi ya Tottenham Spurs ambapo mara ya mwisho kukutana walitoka sare. Je safari hii nani…