Museveni – ”Nchi Kubwa Zinaweza Kutaka Kutushinikiza, Tusirudie Makosa”
Museveni – ”Nchi Kubwa Zinaweza Kutaka Kutushinikiza, Tusirudie Makosa” – Global Publishers Home Habari Museveni – ”Nchi Kubwa Zinaweza Kutaka Kutushinikiza, Tusirudie Makosa”
Museveni – ”Nchi Kubwa Zinaweza Kutaka Kutushinikiza, Tusirudie Makosa” – Global Publishers Home Habari Museveni – ”Nchi Kubwa Zinaweza Kutaka Kutushinikiza, Tusirudie Makosa”
Arusha. Mahakama ya Rufaa imebatilisha adhabu ya kifungo cha miaka 20 jela alichokuwa amehukumiwa Konstebo wa Polisi, Emmanuel Manase baada ya kukutwa na hatia ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya bangi iliyokuwa na uzito wa kilo 208.15. Mahakama hiyo imefikia uamuzi huo baada ya kubaini kuwa upande wa mashtaka ulishindwa kuthibitisha kesi hiyo pasipo…
Video: Basi la Maning Nice Lagonga Lori Lindi, Laua Wawili – Global Publishers Home Habari Video: Basi la Maning Nice Lagonga Lori Lindi, Laua Wawili
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 07 Februari, 2026. Rais wa Jamhuri ya Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni akisaini Kitabu cha wageni mara…
Rais Samia Amshukuru Rais Museveni Kwa Kuunga Mkono Tanzania Kiti cha UN – Video – Global Publishers Home Habari Rais Samia Amshukuru Rais Museveni Kwa Kuunga Mkono Tanzania Kiti cha UN – Video
Bado hata kama usanifu unadhoofika, dalili za maendeleo – ikiwa ni pamoja na maeneo yasiyo na silaha za nyuklia na kuongezeka kwa ushiriki wa vijana – hutoa misingi ya matumaini ya tahadhari, mtafiti wa Umoja wa Mataifa juu ya kutoeneza kwa nyuklia ameambia. Habari za Umoja wa Mataifa. Gaukhar Mukhatzhanova, mwenzake wa Taasisi ya Umoja…
Iringa. Wahandisi nchini wametakiwa kutekeleza kwa vitendo maono ya Serikali katika maendeleo ya kilimo cha umwagiliaji kwa kufanya kazi kwa weledi, uzalendo na uwajibikaji ili kuhakikisha miradi inayotekelezwa inaleta tija kwa wakulima na kuchangia usalama wa chakula nchini. Akizungumza jana Februari 6, 2026 katika ukumbi wa mikutano wa Royal Palm, Manispaa ya Iringa, wakati wa ufungaji…
Lindi. Watu wawili wamefariki dunia na wengine 12 kujeruhiwa katika ajali ya basi la Kampuni ya Maning Nice lililokuwa likitokea Dar es Salaam kuelekea Wilaya ya Masasi mkoani Mtwara, baada ya kugonga lori lililokuwa limeharibika eneo la Mtange, Manispaa ya Lindi. Ajali hiyo imetokea leo Jumamosi Februari 7, 2026, saa 12 asubuhi na kusababisha vifo…
Maswa. Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mjini Maswa (Mauwasa) imeanza kufunga mita za maji za mfumo wa malipo ya kabla (prepaid water meters) kwa wateja wake. Akizungumza na Mwananchi leo Jumamosi Februari 7, 2026, Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mauwasa, Kassim Kado amesema hatua hiyo inalenga kuboresha uwajibikaji, kuongeza uwazi katika ukusanyaji wa mapato…
Geita. Shule za sekondari ya Evarist iliyopo Kata ya Nyarugusu na Rwamgasa, Kata ya Rwamgasa, Halmashauri ya Wilaya ya Geita, zimepatiwa baiskeli zitakazowawezesha wanafunzi kuwahi masomo kwa wakati. Jumla ya baskeli 100 zimetolewa, kila shule imepokea 50 kupitia ufadhili wa Mgodi wa Mwamba Mining kwa kushirikiana na Asante Africa Foundation pamoja na Buffalo Bicycles, ikiwa…