Msaada wa baiskeli kuwakomboa wanafunzi kutembea umbali mrefu

Geita. Shule za sekondari  ya Evarist iliyopo Kata ya Nyarugusu na Rwamgasa, Kata ya Rwamgasa, Halmashauri ya Wilaya ya Geita, zimepatiwa baiskeli zitakazowawezesha wanafunzi kuwahi masomo kwa wakati. Jumla ya baskeli 100 zimetolewa, kila shule imepokea 50 kupitia ufadhili wa Mgodi wa Mwamba Mining kwa kushirikiana na Asante Africa Foundation pamoja na Buffalo Bicycles, ikiwa…

Read More

Ngoy aeleza siri ya ubora Namungo

AKIWA amehusika na pointi 14 kati ya 19 ilizoivunia Namungo, mshambuliaji Fabrice Ngoy amesema mafanikio ya ubora yanatokana na kuamini katika kujaribu na ushirikiano uliopo kati yake na wenzake. Ngoy, ambaye amefunga mabao sita sawa na kinara wa Ligi Kuu kwa sasa, Saleh Karabaka wa JKT Tanzania, ameandika rekodi ya kufunga mabao muhimu kwa Namungo…

Read More

Kule Championship msako Ligi Kuu Bara unaendelea

RAUNDI ya 17 ya lala salama ya Ligi ya Championship inaendelea tena Jumamosi hii kwa mechi tatu kupigwa kwenye viwanja mbalimbali na nyingine zikiendelea Jumapili, huku kila timu ikipambana kwa ajili ya kujitengenezea nafasi nzuri. Kwenye Uwanja wa Filbert Bayi, Kibaha mkoani Pwani, wenyeji maafande wa Transit Camp waliochapwa mabao 2-1, dhidi ya Kagera Sugar…

Read More

RAIS WA UGANDA YOWERI MUSEVENI AWASILI DAR ES SALAAM KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MOJA

::::::::: Mara baada ya kuwasili, Rais Museveni atafanya mazungumzo ya pande mbili na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, mazungumzo hayo pamoja na masuala mengine yatalenga kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia kukuza ushirikiano sekta muhimu za uchumi ikiwemo nishati kati ya Tanzania na Uganda,hususan Mradi wa Bomba la…

Read More

Wasiwasi unaendelea kuhusu ripoti za unyunyiziaji kemikali kwenye Mstari wa Bluu wa Lebanon – Masuala ya Ulimwenguni

Maendeleo hayo yanaleta “hatari kubwa ya kibinadamu” kwa raia wanaoishi huko, ilidumisha Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Kibinadamu (OHCHR), akitoa maelezo kwa waandishi wa habari mjini Geneva. “Utumiaji wa dawa za kuua magugu huibua maswali kuhusu athari kwa ardhi ya eneo la kilimo na jinsi hii inaweza kuathiri kurudi kwa raia kwenye makazi…

Read More