MichezoONANA NA AWESU WATINGA KAMBINI MISRI LEO Admin1 year ago01 mins 25 Nyota wawili wa Simba SC Awesu Awesu na Willy Onana wamewasili kambini Ismailia, nchini Misri kwaajili ya kujiunga na wenzao katika kikosi cha klabu hiyo ili kukamilisha muda wa preseason kwa maandalizi ya msimu mpya. #KonceptTvUpdates Post navigation Previous: Bangladesh yapiga marufuku maandamano – DW – 19.07.2024Next: TAASISI ZILIZOPO CHINI YA WIZARA YA VIWANDA ZAAGIZWA KUTUMIA BIDHAA ZA NDANI