Hizi Hapa Takwimu za Sekta Mawasiliano kwa kipindi cha kuanzia Aprili hadi Juni 2024

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inautangazia Umma kuwa Takwimu za Sekta Mawasiliano kwa kipindi cha kuanzia Aprili hadi Juni 2024 ipo tayari. Unaweza kubofya kiunganishi bit.ly/3YbDVU4 au skani QR code kupakuwa ripoti kamili. #tcratz #statistics #tanzania #stakeholders #investors
Source :TCRA

Related Posts