Olamide anashikilia rekodi ya kuwa na watazamaji wengi zaidi TikTok Live

Akiwa rapa mwenye kipaji kutokea nchini Nigeria, Olamide anajivunia mojawapo ya tasfiri kubwa zaidi ya mafanikio kwenye muziki .

Kama hitmaker, yeye ni mmoja wa waimbaji mahiri zaidi wa Nigeria na mkusanyiko wa vibao vinavyoishi  milele kwa mashabiki .

Ushawishi wake umesaidia kuzindua nyota kadhaa kama Zlatan, Bella Shmurda, TI Blaze, Portable, na zaidi kwa mafanikio kupitia maonyesho yake ya thamani .

Msanii, Olamide hivi sasa anashikilia rekodi ya  TikTok Live  anayetazamwa Zaidi barani Afrika na watazamaji zaidi ya 61,000.

kulingana na taarifa  TikTok live yake  ilikuwa na watazamaji 167,600 kwa jumla