Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy
  • Home
  • 2024
  • August
  • 12
  • AMREF TANZANIA YASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA VIJANA DUNIANI – DODOMA
Habari

AMREF TANZANIA YASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA VIJANA DUNIANI – DODOMA

August 12, 2024 Admin
16
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Ridhiwani Kikwete amefunga maadhimisho ya siku ya vijana kitaifa yaliyofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Centre jijini Dodoma.

Mbali na mambo mengine, Waziri Ridhiwani Kikwete ametembelea banda la Amref Tanzania na kuelezwa namna AmrefTanzania inavyounga mkono juhudi za serikali katika kuhakikisha miradi mbalimbali inayotekelezwa na shirika kwa kushirikiana na wadau wake inavyolenga kutatua changamoto zinazowakabili (vijana) katika masuala ya Afya ili kuboresha maisha yao na jamii kwa ujumla.

Kauli mbiu ya mwaka huu ni; “Vijana na Matumizi ya Fursa za Kidijitali kwa Maendeleo Endelevu”.

Related Posts

Habari

Polisi yamshikilia kigogo wa Chadema, wenyewe wasema…

July 12, 2025 Admin
Habari

DKT.MPANGO AAGIZA WAGANGA WAKUU WA MIKOA NA HALMASHAURI KUVITUNZA VIFAA TIBA KWENYE VITUO VYAO

July 12, 2025 Admin

Post navigation

Previous: Olamide anashikilia rekodi ya kuwa na watazamaji wengi zaidi TikTok Live
Next: Mzize: Chama ana jicho la pasi

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.