HabariMAKAMU WA RAIS AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA KIJIJI CHA RUDI WILAYA YA MPWAPWA Admin1 year ago01 mins 28 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na Wananchi wa Kata ya Rudi iliyopo Jimbo la Kibakwe Wilaya ya Mpwapwa akiwa ziarani mkoani Dodoma tarehe 20 Agosti 2024. Post navigation Previous: Mshukiwa wa mauaji wanawake 42 atoroka mahabusuNext: Chadema yadai kushikiliwa viongozi wake, Polisi yakana