Habari Rais Dkt. Samia apiga kura katika Kituo cha kupiga kura kitongoji cha Sokoine, Chamwino Mkoani Dodoma November 27, 2024 Admin 16 RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga kura kwa ajili ya kuchagua viongozi kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mtaa katika kitongoji cha Sokoine, Chamwino mkoani Dodoma tarehe 27 Novemba, 2024. Related Posts Habari MWALIMU AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MAISHA KWA KULAWITI MWANAFUNZI July 14, 2025 Admin Habari SERIKALI YAJENGA SHULE YA KISASA YA WASICHANA NA SHULE YA AMALI MKOANI MWANZA July 14, 2025 Admin