MichezoHADITHI: Bomu Mkononi – 30 Admin7 months ago01 mins 22 Tukaenda na Mustafa hospitali ya Muhimbili. Musa alikuwa amelala kichalichali. Alionyesha alikuwa taabani. Mguu mmoja ulikuwa umening’inizwa. Mguu mwingine ulikuwa umefungwa bendeji ngumu. Post navigation Previous: Kumbe Diarra kamfunika hapa CamaraNext: HADITHI: Kwa Mtutu wa Bunduki – 5