Habari ASMA JAMEEDA ASHINDA TUZO YA MCHEKESHAJI BORA WA KIKE WA MWAKA February 22, 2025 Admin 13 TUZO ya Mchekeshaji bora wa kike wa Mwaka imekwenda Kwa binti Mrembo Asma Jameeda katika Usiku wa Tuzo za Ucheshi(TCA) ambae anatokea kwenye Jukwaa la cheka tu. Katika hafla hiyo, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni mgeni rasmi. Related Posts Habari Diaspora waitwa kuwekeza, mfuko uwekezaji dola ukizinduliwa nchini July 10, 2025 Admin Habari Aga Khan kutoa huduma za saratani kwa mamilioni Tanzania na Kenya July 10, 2025 Admin