Habari JOTI ASHINDA TUZO YA MCHEKESHAJI BORA MKONGWE February 22, 2025 Admin 13 Tuzo ya Mchekeshaji Mkongwe imekwenda Kwa Lucas Mhuvile a.k.a Joti . Joti anaondoka na tuzo ya pili Usiku wa tuzo za Ucheshi (TCA) ambapo awali akikabidhiwa tuzo ya Mchekeshaji bora Muigizaji Wakiume wa Mwaka pamoja na Tuzo ya Mchekeshaji Mkongwe Related Posts Habari Diaspora waitwa kuwekeza, mfuko uwekezaji dola ukizinduliwa nchini July 10, 2025 Admin Habari Aga Khan kutoa huduma za saratani kwa mamilioni Tanzania na Kenya July 10, 2025 Admin