Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango
ameshiriki Ibada ya Jumatano ya Majivu katika
Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Petro Osterbay Jijini Dar es Salaam
leo tarehe 05 Machi 2025. Ibada ya Jumatano ya Majivu ni mwanzo wa kipindi cha
Kwaresma ambacho hutumika na waumini wa dini ya Kikristo kwaajili ya mfungo.