DKT. NCHEMBA ATETA NA UONGOZI WA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI WA AFRIKA MASHARIKI

 

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt.
Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya
Wakurugenzi ya Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi wa Afrika Mashariki
(EACOP), Bw. Philippe Groueix, Kando ya Mkutano wa 11 wa Mafuta na Gesi
unaozihusisha nchi za Afrika Mashariki unaoendelea katika Kituo cha
Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere, JNICC, Jijini Dar es Salaam,
ambapo wamejadiliana kuhusu maendeleo ya ujenzi wa mradi huo. Kushoto ni
Mkurugenzi Mtendaji wa EACOP, Bw. Guillaume Dulout.
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini. Wizara ya Fedha, Dar es Salaam)

Related Posts