HabariETDCO yashiriki Maadhimisho ya Siku ya wanawake duniani Admin5 months ago01 mins 11 Wafanyakazi wa Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme ( ETDCO) wameshiriki sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani zilizofanyika Kitaifa jijini Arusha. Post navigation Previous: Mwalwisi arejesha majeshi Mbeya KwanzaNext: Bei za petroli, dizeli zapaa Zanzibar, Zura yatoa sababu