MichezoGamondi: Kwa mziki huu wewe huogopi! Admin1 year ago01 mins 23 Yanga inashuka dimbani ikiwa tayari imetawazwa kuwa bingwa wa Ligi Kuu ikisaka taji la pili dhidi ya Ihefu FC kwenye mchezo huo utakaochezwa saa 9:30 alasiri katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid. Post navigation Previous: MTU WA MPIRA: Ipo siku ‘ndoa’ ya Chama na Yanga itafungwa tuNext: Wakazi Handeni wataka bei rafiki gesi ya kupikia