UNAMKUMBUKA aliyezamisha jahazi la Simba ikiambulia pointi moja dhidi ya Coastal Union kwenye Uwanja wa KMC, si mwingine namzungumzia Abdallah Hassan amemalizana na uongozi wa timu hiyo baada ya makubaliano ya pande mbili.
Dakika 90 ngumu kwa Arajiga, waarabu mtegoni
