Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia, Tundu Lissu leo Aprili 10, 2025 amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kukamatwa jana Aprili 9, 2025
Mbinga Mkoa wa Ruvuma katika mkutano wake wa Hakuna Mabadiliko hakuna Uchaguzi.
Habari za Kitaifa