Skip to content

HabariMpya

Habari za Kitaifa

Random News
  • Privacy Policy
Headlines
  • Nana Dollz Afunguka Baada ya Kununua Range Rover “Mwaka Mgumu Lakini Mungu Amenisaidia” – Global Publishers

    32 minutes ago
  • Waziri Kabudi Aeleza Dira Mpya ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo – Global Publishers

    58 minutes ago
  • Kwa nini Chakula na Kilimo kinapaswa kuwa katikati ya Ajenda ya COP30 – Maswala ya Ulimwenguni

    1 hour ago
  • Waarabu warudi tena kwa Fei Toto na mzigo wa maana

    2 hours ago
  • Malengo ya Yusuph Mhilu Geita Gold

    3 hours ago
  • Pantev afumua maeneo matatu Simba

    3 hours ago
  • Home
  • 2025
  • April
  • 16
  • WAZIRI MKUU AELEKEA SOMANGA
  • Habari

WAZIRI MKUU AELEKEA SOMANGA

Admin7 months ago01 mins
43

*****

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa asubuhi Hii Aprili 16, 2025 amewasili eneo la Somanga kukagua Miundombinu ya barabara kuu ya Dar es Salaam-Lindi ambayo imeathiriwa na mvua zinazoendelea kunyesha nchini.

Mheshimiwa Waziri Mkuu ameambatana na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stegomena Tax pamoja na Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega.

 

Post navigation

Previous: Zelensky amfuta kazi kiongozi wa jeshi Sumy, shambulizi lililoua wanajeshi 60 latajwa
Next: Zelensky amfuta kazi kiongozi wa jeshi, shambulizi latajwa kuwa chanzo

Related News

Nana Dollz Afunguka Baada ya Kununua Range Rover “Mwaka Mgumu Lakini Mungu Amenisaidia” – Global Publishers

Admin32 minutes ago 0

Waziri Kabudi Aeleza Dira Mpya ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo – Global Publishers

Admin58 minutes ago 0

Chalamila Aagiza Huduma za Mwendokasi Kurejea Mbagala Novemba 20 – Video – Global Publishers

Admin7 hours ago 0

ACT-Wazalendo wapinga uteuzi wajumbe tume ya uchunguzi

Admin9 hours ago 0

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo