Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Stephen Wasira amewahakikishia Watanzania kwamba chama hicho hakina chuki wala kısası na mtu, bali kinaamini katika kutekeleza sera ya maridhiano.
Wasira: CCM haina chuki, visasi bali inaamini katika maridhiano
