MichezoDakika 15 za kibabe Prisons ikiichezesha kwata JKT Tanzania Admin5 months ago01 mins 32 Pamoja na kutanguliwa mabao mawili, Tanzania Prisons imetumia dakika 15 kufanya ‘comeback’ na kuifumua JKT Tanzania mabao 3-2 kuendeleza matumaini ya kubaki salama Ligi Kuu. Post navigation Previous: Kikwete anavyopasua anga kumnadi JanabiNext: Wasira na majibu wanaohoji CCM ‘kuhubiri’ amani bila vitendo