Kinachoendelea Muda Huu Msibani Kwa Carina, Vilio – Global Publishers




Wasanii na watu mbalimbali, wamefika kwenye msiba wa Carina, Magomeni Mapipa, Mtaa wa Mvumi jijini Dar es Salaam.

Eshe Buheti anaonekana kuwa na huzuni kubwa tangu msiba huo ulipotokea, sambamba na Shamsa Ford, msanii mwenzake na waombolezaji wengine.

Carina anatarajiwa kuzikwa leo katika Makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.

🔴 Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment ili kuendelea kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.











Related Posts