Na Joseph Ngilisho..ARUSHA
MBUNGE wa Arusha mjini Mrisho Gambo amelazimika kuomba radhi bunge baada ya kubanmwa kuhusu tuhuma za uongo alizoziibua bungeni kuhusu ufisadi katika miradi ya jiji la Arusha pamoja na kumtuhumu uongo waziri wa nchi ofisi ya Rais Tawala za mikoa na seikali za mitaa Tamisemi.Mohamed Mchengerwa .