Habari RAIS SAMIA APOKEA CHETI CHA UMILIKI WA HISA ZAKE April 28, 2025 Admin 27 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea cheti cha umiliki wa Hisa zake kwenye Benki ya Ushirika Tanzania katika Ukumbi w a Mikutano wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 28 Aprili, 2025. Related Posts Habari Mahakama yaridhia Wamarekani kumuasili mtoto mchanga aliyetupwa Geita July 9, 2025 Admin Habari Petroli yapaa, dizeli ikishuka Zanzibar July 9, 2025 Admin